Moyo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mapenzi
Yalikuja kwangu kama idea
Hila kukupenda siku tarajia
Sikuona wala ku sikia
Mpenzi kama wewe
Upo kwenye hii dunia
Oh baby bana shikamo nakusalimia
Unavo nipa sikuona wala kusikia
Natamani Kuwa hadithia
Ili nao waelewe ninayo pitiya
Usisahahu
Moyo wangu
Wakike
Ukipenda unapenda kweli
Usinidharau baby wangu
We nipe
Nikipenda mi chizi kweli
Oh oh oh moyo
Oh oh moyo
Oh oh moyo utapasuka
Oh oh oh moyo
Oh oh moyoo
Oh oh moyo unashitukaa
Hiviii ukipenda
Unakuwa chizi unakua Lofa
Unakua bubu
Unakua kiziwi unakua jau ooh my
Ama hivii mapenzi
Ukishayaoga unakua uoni
Unaweuka unajisahau ooh my bby
Mapenziii yananipeleka
Huko milimani sa sijui nani
Anitoeee
Usisahahu
Moyo wangu
Wakike
Ukipenda unapenda kweli
Usinidharau baby wangu
We nipe
Nikipenda mi chizi kweliii
Oh oh oh moyo
Oh oh moyo
Oh oh moyo utapasuka
Oh oh oh moyo
Oh oh moyoo
Oh oh moyo unashitukaa
Baby guno omwoyo gwange
Twaala gunno mwonyo gwangeee eah
Oh nana u nanaaa
Buli wonkwaata baby
Mpulilaa nsaanukaaa
Yegwe eyandya obwongo
Mpulila ondi eno mundaa
Ate orunsi bwo oyogera edoboozi
Linyonyogеraa
Baby come close to me
Causе am running crazy without you
Your the woman of my love my heart and soul
Baby ndagukundaaa ngye ndagunda