Ex Wangu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Ex Wangu - Lakisha
...
Aiyeee oyeeeeee
Aiyeeeeeeeeh oyeeeeeeeeh
Ex wangu anataka tulidiane sina muda uo
Stage nilofika siwezi ata kuludia nguo
Ana hakili za kitoto an ye tofauti yake na watoto umeme Ukirudi asemagi uo
Najua tuliachana kwa ubaya mixer chuki
Hila mambo anayoyafanya right now ni kma school kid
Simwongelei ananiongelea dz nigga stupid
Anatabia za kidemu kilichobak avishwe chupi
Ex wangu ana maneno hila vitendo siyo
Offcoz alinidanganya vitu vingi miaka hyo
Alinihaidi ntakununulia jeep yenye mbio
Akati ye anamiliki vijipu kwenye makalio
Ckumuacha kwa ubaya ata ungekuwa wwe usingeweza
Anavaa nguo moja daily kma afande wa magereza
Ukiona anakusifia ujue anabania feza
Ukimuomba ya kusuka anakwambia ukinyoa unapendeza
Sijutii kuyafanya maamuzi ya kuaachana