Asante Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Asante - Costar Mkumbo
...
Uuuh yeah yeah
Mmmh
Oh Asante asante
Huuh
Nikisema Nishukuru Nishukuru
Sioni cha kukupa
Ee Baba eh mengi umenitendea
Nikisema Nishukuru Nishukuru
Sioni cha kukupa
Ee Baba eh mengi umenitendea
Nikisema nitafte nitafte
Maneno mengi eh
Ya kukushukuru mimi sioni
Nikisema nitafte nitafte
Maneno mengi eh
Ya kukushukuru mimi sioni zaidi ya asante
Isingelikuwa ni wewe ningelikuwa wapi
Isingelikuwa ni wewe ingelikuwa vipi
Asante
Ouuh Ouoooooh
Hakuna chakulingana Na thamani ya vile
Ulivyotenda kwangu Yesu eh
Fedha na Mali havilinganishwi
Na ulivyotenda kwangu Yesu eh
Umetenda makuu
Pumzi umenipa bure silipii
Uzima ninao tele sidaiwi
Pumzi umenipa bure silipii
Uzima ninao tele sidaiwi
I thank you Lord for your bless to me
I thank you Jesus for your mercy to me
I thank you Lord for your bless to me
I thank you Jesus for your mercy ooh
Uuh neno la shukurani
Halitatoweka kinywani mwangu
Hata moyoni
Nitaliimba milele
Yesu ninaamini
Yote unatenda ni wewe
Baba yangu wewe mmmh
Uuh neno la shukurani
Halitatoweka kinywani mwangu Yesu
Bwana we nitakushukuru wewe
I thank you Lord of Lords oh
I thank you Jesus
Asante (Uuh Dady)
Asante (aah umenitoa mbali)
Asante (yeeh umeondoa aibu)
Asante (Uuh wewe oh)
Asante (huwa nakumbuka nalia)
Asante (ooh baba kule ulikonitoa)
Asante
I thank you Lord for your bless to me (Asante)
I thank you Jesus for your mercy (Asante)
Ooh
(Asante)