Kando Yako Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2023
Lyrics
Kando Yako
Ni wewe napenda
Sitaki mwingine wewe ndio agenda
Nakuwaza kila siku kama Kalenda
Siwezi imagine wewe ukienda
Ukienda
Tunaweza
Na mapenzi yakiwa nzito mi nitabeba
Na tukifika mwisho we utasema
Tukirudishwa nyuma
Tunaweza anza tena
Anza tena
Cos all the little things you do
Make me love you more they do
I know that you feel this too my love
Ni wewe
Nikiwa Kando Yako kila kitu kiko sawa
Ni wewe
Sayari zimenipa malikia kwa kijana
Ni wewe
Nikiwa Kando Yako ona jinsi ninavyopagawa
Ni wewe
Nikiwa nawe nahisi kama nina mabawa
Nikiwa Kando Yako
Nikiwa Kando Yako
Twende Java
Nikunywe dawa yangu wewe kahawa
Tukicheka vile mambo yetu mabaya
Tena unasema mambo yote ni ya Maulana
Ni ya Maulana
I wanna grow old with you
I, want us to see a thousand moons,
I wanna swim in your perfume
Nilingoja sana kabla nikupate
Ju ni wewe
Nikiwa Kando Yako kila kitu kiko sawa
Ni wewe
Sayari zimenipa malikia kwa kijana
Ni wewe
Nikiwa Kando Yako ona jinsi ninavyopagawa
Ni wewe
Nikiwa nawe nahisi kama nina mabawa
Nikiwa Kando Yako
Nikiwa Kando Yako