Nililewa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
kumbe Dozzy niambie!
Mmmh mmh light baby
Eeeh eeh eeh eeeh ukimuona
Ni ka Model sio kibonge
Mkongo sio mubebe
Na kwa isia za pombe kweli alinitekaa
Mwenzenu yalinikuta ya konde
Unaweza ukaonga range na usipendwe
Nashindia vidonge si alichana mkeka
Eeh Nilichora adi tattoo Nikawakana na ndugu
Sijapata nafuu naugulia maumivuu
Na tatizo lapombe ukinywa zinashuka chini
Ugomvi mazonge tamu ila Chungu kwenye ulimi
Pombe ziliufosi moyo kupenda pasipo stahilii
Kwanini kun'gang'ania nimegahili eeh
Ilikuwa ni pombe Nililewaa
Ilikuwa ni pombe sio kwa akili zangu
Ilikuwa ni pombeee Nililewa
Ilikuwa ni pombee sio kwa akili zangu eeh
Yee mmh mmh eeh
Yee Nimzuri sikatai
Mpole kama ahongei
Kumi tisa aikai ila sio kwakupenda kule
Alikuwa ata anijuwii
ILA kwa ka songi na usharkhan wangu
Eeh Akani follow follow follow
Na tatizo la pombe ukinywa zinashuka chini
Ugomvi mazonge tamu ila chungu kwenye ulimi
Pombe imeleta uhadui chid boy na didas awaongei
Kumbezimeufosi moyo kupendaa
Nimeghaili eeeh
Ilikuwa ni pombe nililewa
Ilikuwa ni pombe sio kwa aliki zangu
Ilikuwa ni pombe nililewa
Ilikuwa ni pombe sio kwa akili zangu eeeh
Ilikuwa ni pombeee nililewaaa
Ilikuwa nipombeee mnisameee