Holiday Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Tumefika kwenye party kaka dada shika glassy, it's a holiday
Kama unapenda kuparty come basi ujiunge nasi. Its a holiday.
Its a holiday yeeeh
Its a holidayy
Oh yes issa holy holy its a holidee
Ka konde todee ntawashow attitude
I say watu wadundee wa watu wadunde
Na ukileta vurugu apa bas tukudunde
Hatutaki mess tunataka kujinice
Kamatia glass weka drink weka ice
Kuna vodka,whisky gin ma beer
Na kuna maji tamu tam kwa wasiotumia
Tunataka kila mmoja afeel guda guda
Najua Kesho kila mmoja atatoa ushuhuda
Wengine watacheka wengine wata regret
Wengine watataka tena wengine wata repent
Sherehe sheria kama kawa si ni wakenya
Na ikifika ni kazi tunajua kuzifanya
Tu pige sherehe ila zaidi tuchanuane
Tujengane,tushauriane tuchekiane
The Great nishafika I'm ina de area
Nasambaza great vibes kama bacteria
Se niko sight kata simu kata simu
Usinitoe syk acha kunikata stimu
Tupige sheree lets vibe lets talk
Wengine moshenee wengine wako tiktok
Yes tumekuja kwenye party party party
Shida tummeacha kwente makabati
Nacheki kushoto napita mpaka kulia
Kumewaka moto watu wanajiachilia
Dj raey ngoma moto anatuangushia
Kwenye flo kuna watoto wanatutingishia
Aki ya nani
Ntarudi nyumbania nmebaki mwani
Nwy i don't care bora niko na ka fea
Na kesho niko off mwili itaji repair