Data Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Data - Damian Soul
...
switch s2kizzy baby
nimedataa oh ndiomana nimedata Dataaa
maneno ya wanafki hushangai wakisema kwamba mimi sikufai
manenoo ya kimbea na ulaghai kwako nomo unawatoaga nishai .
ndiomana nimedata naww data naww
nitadata ukiniacha mwenyewe ×2
kichuna wangu kipusa wanidatishaa sina hata mashaka hakika ww wanifaa .
i love theway you love me and i love theway yu care nipe nami nikupe malavidavii karibu sogeaa ×2
ndiomana nimedata naww data naww
nitadata ukiniacha mwenyew ×2
nimama la mama mamiloo manka
mama upendi mamalioo dangaa
mama utakuja nitoa roho kaka
mana nashindwa jikontroo kachaa { woooooooow}
kipili pili changu bado wanifolo mi mjini unajua nikki cna kolonii usiku haukeshi kama korokoronii
darasa la mapenz uwa cna utoro mi
penz la moto akuna kiporo kuchacha
penzi ni tam kama ni rumba chakacha
kitu kupenda watu weusi ni culture
vile nang,ata kitu utam kashata
ndiomana nimedata naww data naww
nitadata ukiniacha mwenyew ×2
kichuna wangu kipusa wanidatishaa
and i love you theway yu love me
nipe nami nikupe malavidavii