
Zidisha Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Zidisha - Super Legacy
...
Intro.
Oooh nana nana
Yeaaah yeah
Oooh no no no no
BUCCOBEATS#
Verse1
Kwenye mapenzi nishaumizwa,
nikalia sana,kwako nahitaji kutulia
Nilishapenda nikaumizwa,
Nikakosa maana, nilitamani mapenzi kuyakimbia.
Bridge
Chonde chonde mamy acha
nikujuze.
Nakupenda kweli usiniumize.
Mie mteta bado usinikomaze.
Zidisha tuu mahaba nikutunze.
Chorus
Zidisha. (Ooh Na Na Na na)
Zidisha. (Nipe tena wo wo wo)
Zidisha.
Zidisha. (A E O)
Zidisha
Zidisha
Zidisha
Zidisha
Na Na naaa, Na Na Naaa
Na Na na naa, Na Na Naaa na naa
Yeaaah!!
Verse2
Ooh beibe you ma lovely chick,
Nikiss unichum chum.
And your body jeje yeah so sweet, sweet for me shake your bum bum.
Njoo nikufinyange nikufinyange
Nikufinye finye kama udongo.
From Monday to Sunday night to the morning eeeh.
Our love it's a perfect combo.
Bridge.
Chonde chonde mamy acha
nikujuze.
Nakupenda kweli usiniumize.
Mie mteta bado usinikomaze.
Zidisha tuu mahaba nikutunze.
Chorus.
Zidisha. (Ooh Na Na Na na)
Zidisha. (Nipe tena wo wo wo)
Zidisha.
Zidisha. (A E O)
Zidisha
Zidisha
Zidisha
Zidisha
Oooh Na Na Na naaa
Yeaaah!!
A E O
E O
E O.
The End.