CELEBRATION (Afterparty Edition) ft. Shpvpi & Trix Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
This is just like celebration
Mama kula bata heavyweight la vacation,
Maana ku kupata ili hitaji navigation
Searching for you, Day and night I was patient
I was waiting, for your loving
Mi n imchawi sana kwenye bed ila umeniweza
Kama mtoto mdogo vile unani bembeleza
Tusha vunja bed bado kazi kwenye meza
Mama ona moyo jinsi unavyo cheza cheza
Niko makini na, ntakulinda kama dini
Mama you too enough demu wangu mi ni bonge la pini
Achana nao wenye chuki zao tuki pendana
kwani ni nini?
Let em talk let em talk mwisho wa siku niamini tu mimi
Mi ni Baba we ni Mama
Kwangu mi uko salama
We ni guitar mi Santana
Nipe milio kwa sana
You ma motivator
Got me feeling better
Kwa ninavyo kupenda Oh me am DONE!
This Is just like a celebration
Wewe Kwa wangu Ndo Ma Motivation
Na Hii Ngoma Iwe Dedication
Unanifanya Me Nishikwe Na Kichaa
This Is just like a celebration
Wewe Kwa wangu Ndo Ma Motivation
Na Hii Ngoma Iwe Dedication
Unanifanya Me Nishikwe Na Kichaa
Unanifanya Niwe Chizi
Me Niwe (Ndondocha)
Naota Unanipa Kiss
Na (Makopa Kopa)
Nilipo Fall On Love (Uliniokota)
Nasitofanya Hata chozi Lako (Kudondoka)
Wewe Kwangu Your My Trumpet
You Ma Melodies Unani Bembeleza kwa Vinanda
Sun Rise Mpaka Sun Set
Kama Magnet,
Kamwe Sinto Choka Kukuganda
Uzuri wako kweli Magic
So Fantastic, Unanifanya Mpaka Me Na Wonder
Vile Ukivyo So Sexy So Romantic Unanyonipa Penzi La Kitanga
Siendi Safari
Kama Hautonipa Good Bye
Usiku Silali
Kama Hauto Nipa Good Night
Nikiwa Low
Wewe Ndo Unaniweka High
Nikiwa Wrong
Unanifanya Mimi Niwe Right
This Is just like a celebration
Wewe Kwa wangu Ndo Ma Motivation
Na Hii Ngoma Iwe Dedication
Unanifanya Me Nishikwe Na Kichaa
This Is just like a celebration
Wewe Kwa wangu Ndo Ma Motivation
Na Hii Ngoma Iwe Dedication
Unanifanya Me Nishikwe Na Kichaa
Unanifanya Niwe Chizi
Me Niwe Ndondocha
Naota Unanipa Kiss
Na Makopa Kopa
Nilipo Fall On Love Uliniokota
Nasitofanya Hata chozi Lako Kudondoka
Yaaaaaah!!
(Laughers)
"Gal you badder Dan di.. ada mi a swear
Sema wapi mi I.. take you anywhere
Ni Moyo na sio.. mimi naongea"