![Sisi ft. Chino Kidd & Dj ALLY B](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/06/63a752c9b1cc4cfc9f36e2b0b9693728_464_464.jpg)
Sisi ft. Chino Kidd & Dj ALLY B Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Sisi ft. Chino Kidd & Dj ALLY B - Ice Boy (TZ)
...
oyaaaaaaaa
athumaniiiiiii
mwaiser
wazazi wangu walitusii kwamba usicheze na sisi
na ilibidi tuwatiii maana
sisi ndo sisi (sisi ndo sisi)×2
wale mafisi (wale mafisi)
sisi ndo sisi
bado unakaa kolo pale unavimba
sura lako baya kama kimba
kwa ugali wa bimdash
bado tupo home baya popote tatimba
nyota zetu kali utazani simba
hata ile bumdash
usicheze na sisi
sisi sisi so mafisi
pisi ibilisi ukijifanya unatujua
sana nitakukula kama firigisi
na tumepania sana endeleeni tu kurudisi
wazazi wenu walitu sii kwamba usicheze na sisi
na ilibidi tuwatiii
maaana sisi ndo sisi
sisi ndo sisi
wale mafisi
sisi ndo sisi
sisi sisi usicheze na sisi sisi
killer tumevaa kodi kali
yani kama vile basi we ujue ndo sisi
tunatimba gang gang gang kama gang gang gang we ujue ndo sisi
kuna gari tatu zimepakina cembu yani kila kona ujue ni za sisi
kuma debe kali zinapita pita pita huku yanibujue za sisi
sisi sisi usicheze na sisi sisi
kaa mbali na sisi sisi waambie ka'a mbali na sisi hatutaki shobo x2