![TELOAH TO THE WORLD](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/04/2adf96c88203456fbdb1f733dff7ba72_464_464.jpg)
TELOAH TO THE WORLD Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2023
Lyrics
TELOAH TO THE WORLD - BARAKA DAN
...
oooh Yahweh! Baraka dan oooh...
j j j j ooh maama
Emiliana na Maya si mnajua tu nikama
1.....2 go (tazama mbele bana, si ni kunoma bana)
nimesikia Habari kuwa Kuna mtihani
nikaskia na Dada zangu wako humo ndani
nawaambia mpate moyo muongeze hamu
anasikia maombi Mungu aliye juu hai
na tunaomba nyi - mpiiite mpiite mpiiite mtihani X4
aah..ukifika kwa class unasoma kitabu inakwama hapa kwa kichwa
ukifanya hesabu unapita unashangaza hata teacher
ukipita mtihani tunakuja tunapiga hata kapicha
na matokeo yakija tunaonyesha sisi hatuezi ficha
coz tunabelieev ooh, in you so go pass
na success ndio wimbo, tunaomba twaomba ukapite mtihani eeh Dada
coz tunabelieve ooh, in you so go pass
na shetani wa mtihani tunampiga teke(riswaa)
na tunaomba nyi - mpiiite mpiiite mpiiite mtihani
mpiiite mpiiite mpiiite mtihani
na tunaomba nyi- mpiiite mpiiite mpiiite mtihani
mpiiite mpiiite mpiiite mtihani