![Nikilewa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/31/6de25c8713fd41e8a169e65c28f4013b_464_464.jpg)
Nikilewa Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Nikilewa Lyrics
Verse 1.
My baby say
Am so complicated , na me naona
Nisicompicate
My baby say
Am so complicated , na me naona
Nisicompicate
It's happening now
Oh it's happening
It's happening now
Oh it's happening
Mhh....
Kwani nikilewa namkosea nani,
Na yule asielewa, atoke humu ndani
Kwani nikilewa namkosea nani,
Na yule asielewa, atoke humu ndani
Chorus
Oh mama mama iiiiiiii
Verse 2.
Kunywa vidonge siwezi,
Ai siwezi, mama siwezi
Eti nshindwe kulala kisa mapenzi
Siwezi mama siwezi
It's happening now
Oh it's happening
It's happening now
Oh it's happening
Mhh....
Kwani nikilewa namkosea nani,
Na yule asielewa, atoke humu ndani
Kwani nikilewa namkosea nani,
Na yule asielewa, atoke humu ndani
Chorus
Oh mama mama iiiiiiii