
Shangilia (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Shangilia (Live) - ESSENCE OF WORSHIP
...
Shangilia! piga kelele kwa bwana
Shangilia! msifu bwana wa mabwana(*2)
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Shangilia! piga kelele kwa bwana
Shangilia! msifu bwana wa mabwana(*2)
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Eeh Bwana,jina lako la milele
Mungu nguvu la vizazi hata vizazi
Eeh Bwana,jina lako la milele
kumbukukumbu la vizazi hata vizazi
mataifa yote msifu bwana
enyi watu wote, mhimidini
msifuni kwa mvumo baragumu
msifuni kwa kinanda na kinubi
msifuni kwa matari na kucheza
kila pumzi na amsifu Bwana
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka
Ametukuka milele ametukuka