Shida ft. Khaleemani & TISCO Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
(RStudios)
Alikuja akaenda jana
Alisema amechoka sana
Nilibaki mimi nimeshangaa
Kitu gani mimi nilifanya
Karibu nilie machozi
Moyo ulijaa majonzi
Yule anayeumizana
Ndani anaumia
Mi sina shida
Nyimbo zangu ziko kwenye speaker
Bondo Town pia hadi Thika
Nitavuma kwote kwa hakika
Sitasita
Kujikumbusha yaliyopita
Si ndwele chungu hizo zitakwisha
Mimi ninajua sina shida
Ni maisha tu
Struggle with daily anxiety
Wondering what will become of me
Forgetting to enjoy the journey
Glad to say that now is history
(Nimekuja kuaffirm)
Coachella ntaperform
Nitafika for sure one day
Every city every town
Baby you can write it down
You are gonna see my face eeeyyy
Live your life
Don't live a lie
Your dreams are valid
Breathe the fire
Seek to God, your peace of mind
When you see me rise don't speak no lies
Eyes are windows to the soul (eh eh eh eh)
I need my shades
Don't judge me you could lose your faith
Why rush me when you're losing the race
I'm a champion I move insane
Tuna-surviving-ingi tu daily
Tukipray tuachieve many
Juu hii talanta si kawaida tu
Tuna mistari kali kali
Kubahatisha tuliacha zile enzi za zimbaka zi
Kuna downtimes but tunamove up advancing
Hizi skills like magic with good vibes and passion
Hizi ndio main ingredients za kumake a classic fantastic
Maintaining the baddest
Mi sina shida
Nyimbo zangu ziko kwenye speaker
Bondo Town pia hadi Thika
Nitavuma kwote kwa hakika
Na sitasita
Kujikumbusha yaliyopita
Si ndwele chungu hizo zitakwisha
Mimi ninajua sina shida
Ni maisha tu
We got the music
We got the moves
Who gon' stop us?
Break the roof
We got the music
We got the moves
Who gon' stop us?
Increase the volume
Stop the car
Wimbo unachezwa toka Moshi had Dar
Hujasikia Kampala
Wanadansi na kusema hii ni balaa