
Wanaona wivu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Walisema hatufanani
Wala si hatuendani
Hadi wakasema
Kuowana hatuwezi
Walisema hatufanani
Wala si hatuendani
Hadi wakasema
Kuowana hatuwezi
Walienda hadi kwa waganga
Wakamwaga damu za wanyama
Ili watupange, ila wote wakashindwaa
Walisahau Mungu anvyoweza
Leo vyote viko sawa
Hadi wanaona, kama sisi twawakera
Walitusengenya kila tulipopita
Maombi mabaya walituombea
Ila hakuna aliyefanikiwaa
Aaaaah
Maana hawajui pale tulianzia
Wala pale sisi tutaishia
Sijui Kile kina wasumbua
Aaaaah
Walisema hatufanani
Wala si hatuendani
Hadi wakasema
Kuowana hatuwezi
Walisema hatufanani
Wala si hatuendani
Hadi wakasema
Kuowana hatuwezi
Wanaona wivu
Wanaona aibu
Pakupita wanakosa
Pale wanapotuona
Wanaona wivuuuu
Wanaona aibuuuu
Macho yao wanayafumba
Wakituona pamoja
Walizani Mungu ni babu yao
Walizani Mungu ni asumaanii
Walizani Mungu ni mjomba wao
Walizani Mungu ni asumaani
Kukuleka miye sandahe male
Maana miye sikuzoera kale
Wanasubiri eti tuachane sisi
Waambie watasubiri sana
Wanaona wivu
Wanaona aibu
Pakupita wanakosa
Pale wanapotuona
Wanaona wivuuuu
Wanaona aibuuuu
Wenyewe wametulia
Walivoona tumefanikiwa