Our story ft. Michu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
First time we met 1999
Uliniomba namba
Ukaniuliza are you fine
Nikakujibu Kwamba
Am fine unataka namba yangu yanini
Mi muoga sana kwa watoto wa mjini
Unaomba namba uku unaangalia chini
Nikajiuliza umevutiwa na nini
Ukapiga namba muda wote iko busy
Ukatuma text basi baby nisikize
Ukauliza nani labda Ana ni keep busy
Nikasema mama baby please take it easy
Sasa nakumiliki nimekuweka ndani mama
Tunamiaka kadhaa umenizalia mpaka wana
Wewe ndio wa special nitakupenda leo kesho
Sitaruhusu devil litakufa letu pendo no no
Kwani mimi nakasoro gani
Ukiniacha utaniumiza honey
Wewe ndio wangu waubani
Kumbuka kiapo tulichoapa kanisani baby
Nakupenda sasa hadi badae
Tushajipata mama