![Basi Niridhie (Original Audio)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/26/f5322e03b6ec4151bc2e70359c0ba635_464_464.jpg)
Basi Niridhie (Original Audio) Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Basi Niridhie (Original Audio) - Fontab Beniste
...
VERSE
Umenipa maradhi, ih
Maradhi ya pendo
Mabinti wako wengi
Ila nimeganda kwako
Kila siku naugua, ah
Ukiwa mbali nami, ih
Ila ukiwepo karibu, napona
Kweli nimeganda kwako
Basi baby nihurumie, eh
Manafiki siwasikie, eh
Uwe wangu malkia, ah
Nami niwe mfalme wako
Bila wewe naugua, ah
Bila wewe ninaumia
Sitaki manafiki wanitenganishe nawe
Bila wewe naugua, ah
Bila wewe ninaumia
Sitaki manafiki wanitenganishe nawe
CHORUS
Basi niridhie baby
Basi niamini mummy
Usikubali manafiki
Kazi yao kutuharibia, ah
Basi niridhie baby
Basi niamini mummy
Usikubali manafiki
Kazi yao kutuharibia, ah
VERSE
Umenipa maradhi, ih
Maradhi ya pendo
Mabinti wako wengi
Ila nimeganda kwako
Kila siku naugua, ah
Ukiwa mbali nami, ih
Ila ukiwepo karibu, napona
Kweli nimeganda kwako
Basi baby nihurumie, eh
Manafiki siwasikie, eh
Uwe wangu malkia, ah
Nami niwe mfalme wako
Bila wewe naugua, ah
Bila wewe ninaumia
Sitaki manafiki wanitenganishe nawe
Bila wewe naugua, ah
Bila wewe ninaumia
Sitaki manafiki wanitenganishe nawe
CHORUS
Basi niridhie baby
Basi niamini mummy
Usikubali manafiki
Kazi yao kutuharibia, ah
Basi niridhie baby
Basi niamini mummy
Usikubali manafiki
Kazi yao kutuharibia, ah
Basi niridhie baby
Basi niamini mummy
Usikubali manafiki
Kazi yao kutuharibia, ah
HOOK
Bila wewe naugua, ah
Bila wewe ninaumia
Sitaki manafiki wanitenganishe nawe
Bila wewe naugua, ah
Bila wewe ninaumia
Sitaki manafiki wanitenganishe nawe
CHORUS
Basi niridhie baby
Basi niamini mummy
Usikubali manafiki
Kazi yao kutuharibia, ah
Basi niridhie baby
Basi niamini mummy
Usikubali manafiki
Kazi yao kutuharibia, ah
Basi niridhie baby
Basi niamini mummy
Usikubali manafiki
Kazi yao kutuharibia, ah