I'M SORRY THEY LIED ft. Super_intruder Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Uh, Woiii Naaano,
Kirimi On the Beat
I'm Sorry they Lied
uh yeah uh Super_intruder
I'm sorry they Lied, I'm sorry they lied

Imma do this for you, Imma do this for you
Imma do that for you, Imma do that for you

uh I'm coming in, I'm tripping
I'm feeling like I'm idia Amin
I'm so mean...
Wanauliza nani aliunda beat,
My uncle made the heat,I'm still getting it for free Mmh,
My uncle be like what you mean? I be Like,
My uncle be like what you mean? mmh mmh mmhgh
Chasing that betha, kama gava nadai tax
Gari ya miraa inapita na nikona taxin
Huku wanadai nianze kufile tax
Returns zinadai nipite ni kama dust,
Towel ni Duster juu mop ni expe, kufagia ni must
Dem yake ni mras na pia anadai kunitrust
Juu napita bila trust, sembe ilinikuta nikifast
Bei ni 240 lakini nacheki 420
Wima pia ziko 420
Manyaru tuliachia nyandarua
Walisema cashcrop ni mawaru
Jose alifunga pub akanyongwa
Wengine wakipiga shot wengine wananyonga
Kuzima ni lazima after kuigonga
First blood is down pia riz iko down
Ma opps wanashoot shot lakini zikodown
Glocks ni empty alafu flocks ni petty
Nawalipa cash kwangu ni petty
Naskia naown keja na jirani ni pedi
Wash wash wananikeep pending
Nastep nikijua manzi yako hanipendi
Juu hizo shots zilikiwa hanging
At the same time manzi yako hazipendiii
I'm sorry they Lied, I'm sorry they lied
I'm sorry they Lied, I'm sorry they lied
Imma do this for you, Imma do this for you
Imma do that for you, Imma do that for you
I'm sorry they Lied, I'm sorry they lied
I'm sorry they Lied, I'm sorry they lied
Imma do this for you, Imma do this for you
Imma do that for you, Imma do that for you
I'm sorry they Lied, I'm sorry they lied
I'm sorry they Lied, I'm sorry they lied
Imma do this for you, Imma do this for you
Imma do that for you, Imma do that for you
Mzinga bila chaser na bado si zimangi
KPLC kuna vile siku hizi token hazibambi
Alikam nazo nani manyaru nika sema sivutangi
Wali try kuni bribe na choma nika sema sizi mangi
Nilikubali huwa wana kuja lakini huwa siwagongi
Nilijitetetea ni kama msey hananga kigongi
But in real huyo nguna nilimchocha ata ata lights sizimangi
Kuzima nayo ni lazima after kuigonga
Alisema no more ass ju nilizima after kugonga
Next morning ni obvious alikuwa ame bonda
Natumia safcom ndio maana bado nina bonga
Ilikuwa ni kitambo tulilink na majesty Ronga
Walisema education ni key na yangu nili bonda
Maziwa walikunywa walituvako niya Moi
Mi na Kirimi tukona kaploti huko Ruai
Mrazi ako studio alidai hatuwezi muwahi
Sai ni album yetu anaskiza tuko riiko tukivai
B4 kura alisema bei ya unga itakuwa shwari
Reason nilianza kukopa kwa M shwari
Sai hizo ni Riba za babu tulichapiwa awali
Mamaa alivuka na sponyo sina pesa ya kulipa mahari
Ukitupata mtaa mi na bro si ni ma hustler hodari
Mtoto akililia wembe huyo ni hatari
Vile anacheza na mike utadhani mwana habari
Yoh!
Yoh!
High school ati tulikuwa ma cool kids habari za karao
Ye na family frontline maandamano habari za Rao
Party after party party after party we uki sota una kaa kwa hao
Na hi yote tuna fanyia mafans sio hype ya tao
Nani kweli tuna fanyia mafans sio hype ya tao
Na hi ngoma iko high kushinda grinder ya weed
Yah!! yah !!
kushinda grinder ya weed