46 ft. SNF LUSKII, Cyrup King & SG Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Hii mtaa tunawakilisha
Best rappers wanadai tu ma feature
Ma fans wanaitisha ma picha
EP ni PREACHER Sido ni teacher
Hii mtaa tunawakilisha
Best rappers wanadai tu ma feature
Ma fans wanaitisha ma picha
EP ni PREACHER Sido ni teacher
Top bins na earn big '
3 pointers kama Steph curry
Hii industry si nimei marry
Na flow kwa beat like a carpet Aladin
Na sijai disappoint ma fans
Niko obsessed nadai ku survive
Kisses on my neck zili ruin my cred
WUTANG clan ni Inspector Deck
Kwa jungle na survive
Na kaa winny the poo nadip mkono kwa hive
Trapstar light hio zaza kwa site
Pushing P ndio ni spit kwa mic
One by one na bado nawasolve
Fine B huyu boy nim Rong
Niko na mpoa na anaitwa Keisha
Me ndio buda siezi choma picha
Friends and family wamekua ma ghost
Yoh kwa streets huyu boy nimcold
Nadai mamili juu najiamini
Si focus na player juu me ndio coach
FIFA BEST ndio team huchachisha
Boy wa daggo tunawakilisha
Najistrain ndio ureconsider
Nawatoa mbio utadhani Rudisha