
Ubani Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Ubani - Daroon
...
DAROON
Ubani Ubani ubani
Ubani ubani ubani
Ubaanii wa ubani ubani ubani ubani
Noooooh
Nakupenda kwel si utani
kutoka moyoni weeh ndo wangu tabibu
Sina roho ya shetwani kukuweka motoni
kwanza spendi upate tabuu
Walisema mengi Eti mimi sifai kuwa naweee
Yeeeeh
Kisa Sina shiringi wakuteke tuu wawe Nawe
Ila Mungu ni mkubwa sana
kabariki penzi mpaka tunapendana
Naona hii ni kama karama
hatuachani mpaka kesho milele kiama
Aaaah
Maidia sweet Niamni kamwe sitokusariti
Oooh nooh Yeeh
Uchafu nishadiliti nataka Kuona penzi linakua Fiti
Oooh Nooh
Ubani Ubani Wangu wa Ubani
Ubani Ubani Wangu wa Ubani
Uba uba Ubani wangu wa Ubani
Uba Uba Ubani wangu wa Ubani
Nnoooo Noooooh
Nooooo ooooooh
Ooh kimwali mi nakupenda, Ukiniacha mbali minitakondaaa
Wahalali mi nishasalenda
Kwa penzi tamu tamu kwako nalipendaaa
Usiniukumu usinilaumu kwa penzi lako ushanipa sumu
Njoo unipe Tamu penzi lidumu
Maana wewe kwangu ni adhwimu
My dear sweet Niamini kamwe sitokusariti
Oooh nooh Yeeh
Uchafu nisha delete
nataka Kuona penzi linakua Fiti
Oooh Nooh
Ubani Ubani Wangu wa Ubani
Ubani Ubani Wangu wa Ubani
Uba uba Ubani wangu wa Ubani
Uba Uba Ubani wangu wa Ubani
Wangu wa Ubani
Ubani Ubani Ubani ubaaniii
DAROON
TOTOZ NATION