![SIJAONA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/18/7a3fa518abd149f79dcb432ef7515d4b_464_464.jpg)
SIJAONA Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
SIJAONA - Mouh Khalifa
...
Aaahh..... Aaahh, Aaahh..... Aaahh
Aaahh..... Aaahh, Aaahh.... Aaahh
Kiukweli kama wewe Sijaona,
Siwezi kuficha Sijaona aah mmh..
(Sijaona sijaona kama wewe)
Niwazi we ndo unaniponya,
Siwezi kuficha Sijaona aah mmh..
(Kama wewe, wewe..)
Mi nabaki tu
Aaahh.... Aaahh.... Aaahh Aaahh
Aaahh.... Aaahh.... Aaahh Aaahh
Mabitozi wanajigonga unawakaushia
Tushachoma ubani nishaweka Nia
Kelele zao ntajatoka na Jambia
Katoto kana meremeta Ice
Wallah Billah, Siwezi kukatema No No
Kwenye Movie kama Sharu Khan,
Kameshika Usukani Pole pole kuna tuta Ooh No
Kiukweli kama wewe Sijaona,
Siwezi kuficha Sijaona aah mmh..
(Sijaona sijaona kama wewe)
Niwazi we ndo unaniponya,
Siwezi kuficha Sijaona aah mmh..
(Kama wewe, wewe..)
Mi nabaki tu
Aaahh.... Aaahh.... Aaahh Aaahh
Aaahh.... Aaahh.... Aaahh Aaahh
Yo ma Loo... Nikupe nini ma Loo....
Hii Dunia ni yako, Na iko wazi mi wako
Yo ma Loo.. Nikupe nini ma Loo...
Tushakula kiapo, Mpaka milele wako
Katoto kana meremeta Ice
Wallah Billah, Siwezi kukatema No No
Kwenye Movie kama Sharu Khan,
Kameshika Usukani Pole pole kuna tuta Ooh No
Kiukweli kama wewe Sijaona,
Siwezi kuficha Sijaona aah mmh..
(Sijaona sijaona kama wewe)
Niwazi we ndo unaniponya,
Siwezi kuficha Sijaona aah mmh..
(Kama wewe, wewe..)
Mi nabaki tu
Aaahh.... Aaahh.... Aaahh Aaahh
Aaahh.... Aaahh.... Aaahh Aaahh