![Miami ft. Bruce Africa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/10/b8d3ae3566f04a6ba31e1a8ef3223f2f_464_464.jpg)
Miami ft. Bruce Africa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Katoto kana shabaha nakaitaga sniper aaah
Kakiniita jinatu naanza kuchuruzika
Afu hakana tamaa kodog kanaridhika aah
Nimewavua vyeo vyote ninekavika aah
Girl I need you for life if you don't mind keep trust me let me show you some love
No, we sio mzuri zaidi yao sema ndo kipendacho roho
If you don't mind keep trust me let me show you some love
Taah tata kwako najipiga chataah
shata shata penzi lako shata shata aaah
Taah tata wapo wengi watakufataaah
Ziima taa wabaya wakikufata aa aah
Aaa aaah baby you're my Miami
Baby you're my Miami baby you're my Miami,
baby you're my Miami,
Hayahitaji experience maana ukipenda hauoni, hausikiii ule ule ule eeh Ooh No,
Walau ukiwa na fedha una make sense ingawa haitoshi kama kileleni haufikii oyeee eeh naachwa kina date baby and you again?
Kiroho juju jujuuh kichwa mawazo wapi nafeli everyday, everyday, everyday, nini kinanitesa everyday,