Sarafina Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
Simu yako ulonipigia sarafina imenishitusha sana
Kutwa vitimbwi ndoa doaaa umeshaipatia sarafina
Mmmh majigambo yote Leo kimya
Unarudi unalia sarafinaaa
Mume kovu kakwachia bila bima
Unasikitisha sanaaa sarafina
Yule bwana ulotutambia
Leo ngumi anakubwagia matesoooo
ulitamani kwangu kurejea
Lakini nafasi ulishaipoteza
Nami ndani kumekoreaa hubaaa aaaah
Sinanafasi tenaa
Chorus
Mmmh sarafina usipige simu tena sarafina
Unanikosesha raha sarafina aaammmmh sarafina
Nikonampenzi wangu sarafina usipige simu tena sarafina
Unanikosesha raha sarafina ooohmmmm sarafina
Verse2
Hata mwandani siombiombi napewa
Maji moto hadi natengewa rahazizi wangu
Amenitunuku cheo ananiita mwamposa
Namtiiibu maraaadhi yakeeeheeee
Basi punguza video call sarafina
Penzi langu bichi sarafina
Juakali lisije niwakiaaaa
Ntajuta akinikimbia
Sababu yakooo weeee mmmnhhhh
Basimkanye mumeoo atulizeee komweeeoooo
Akupende mkeoooo
Kama zamani ulivyo jisifiaaa unapendwa
Chorus
Mmmh sarafina usipige simu tena sarafina
Unanikosesha raha sarafina aaammmmh sarafina
Nikonampenzi wangu sarafina usipige simu tena sarafina
Unanikosesha raha sarafina ooohmmmm Sarafina