![TEAMO ft. Jay boy Tz](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/05/c21891e8dbdf40fe8fd1e5e091c250e7_464_464.jpg)
TEAMO ft. Jay boy Tz Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mapenzi matamu
Nikama sugar
Nikama Asali
So sweet
Hata waseme nini (ohhh weee)
Mimi sitokuhacha. (ohhh weee)
Hata waje wangapi
Sisubutu kukuacha (wee)
My Sheri coco
My number one my favorite girl my love
Upendo wetu mimi na wee Tumetoka mbali nao mbali nao sana
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo
Yani kwako nimetuama mimi
Nipeleke unavyotaka
Maana kwako nipo hoi taabani
Nina nakupenda mama (wee
Unanipenda baby (wee)
Tunaendana. Sana
Tunapendeza. sana
Upendo wetu mimi na wee Tumetoka mbali nao mbali nao sana
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo
Unanipa penzi unanipa dozi
Japo sina noti
Unanipenda sana Aaaah…!!!
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
Teamo (mi amor)
(Teamo)