Tanzania Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Leo hayapiti, kama mbaya mbaya
Huku Kenya tushachizi, Kasisi ana bibi
Mbichwa ni kwa wingi, Kazi bila kiki
Hapa sawa hapo vipi, Niko Dar nasaka Binti
Nimekuja na shilingi, Tuko sheshe Jumapili
Haamisa ni wa Ricky, Mali safi ndani ya Ziggy
Juu bongo Haishiki
Nina thao kama mbao, But huku mita mbili
Nilimpiga Kiswahili, nika mchorea shahiri
Now sahwty in her feelings, I be trapping for a living
I be vibing to omollo Namba nane na virusi
Cheki angi ana booty, shembetezo ndio kamusi
Zimeshika ki sufuri, Naeza ipiga na kinduli
Ndienda wana nenda mbesa
Nina kana kailye nesa, nimuathime nina veva
Tundu wooi no sinema
Since she left im feeling better
Kwenye beat me nawachenga
Mashariki twajiweza kuji ngam ndio kusema
Niko studio na masala , Ni aluta tukitema
Na Halima juu ya meza, anadai zimembeba
Miondoko anzikwenda, naye ssaru ana gura
Mnyororo kuurura!
two pac amenituma , Kwenye mic me navuruga
Hawaoni tuko mbele wana shida ka za Ruger
Huku kwetu ukila mchele itabaki umetuna
Izo mbling ukachunwa, iyo simu ika uzwa
Izo chuja zikandungwa
Tuko mboka kila juma
Kwenye drive by in a scooter
Shout out Doman Munga
Mungu zote umeuwa
I be running up the numbers
I be climbing up the ladder
Ni Imani na kishada
Wakibanja najikata, Spendi umbea na lawama
Wanarusha uko Mwanza
Tanzania me ndio baba
Nitakuja na dimanga
Mbogi genje na Diana
Abass kubaff na pia Shaka
Canniball bila shaka
Trio Mio ule mwana
Jovvi Jovv ule shrapper
Tuongeze embarmbamba
Pia wazimu twa washinda
Mkiwasha tunazima, Tukiwasha mnazima