![Wazazi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/04/18c81496e7c94c4fb04d45f5d13bfc02_464_464.jpg)
Wazazi Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Haha
Mtoto wenu, Victor Basua
Tu wa heshimu wazazi
Ni ku pitiya wao ndo tupo hapa diniyani
Baba na Mama yangu, mu barikiwe, mu barikiwe
Mapenzi ya wazazi ndo mapenzi ya ukweli
Hiyo mapenzi ya Mama, hu wezi ku ipata popote
Mimi nime barikiwa ku pata wazazi wangu
Mimi nime barikiwa ku pata wazazi hawa
Jaques Yoshua,
Maman Ogla, mu barikiwe
Asante Mama kwa malezi yako, malezi yako
Baraka zita simama uki sahau Mama
Uki sahau Mama
Bora maisha,mengine ni madjaliwa
Chaku wapa sina ila na wa ombeya usalama
Asante Baba kwa malezi yako, malezi yako
Baraka zita simama uki sahau wazazi,
Uki sahau wazazi
Bora maisha,mengine ni madjaliwa
Chaku wapa sina ila na wa ombeya usalama
Mimi wazazi wame ni funza mengi ku husu familia
Umu heshimu ndugu yako, na umu heshimu piya jirani
Wazazi wame ni funza mengi ku husu bibilia
Uki tii wazazi wako uta ishi maisha marefu
God bless you, God bless you
God bless you, God bless you
God bless you, God bless you
Asante Mama kwa malezi yako, malezi yako
Baraka zita simama uki sahau Mama
Uki sahau Mama
Bora maisha,mengine ni madjaliwa
Chaku wapa sina ila na wa ombeya usalama
Asante Baba kwa malezi yako, malezi yako
Baraka zita simama uki sahau wazazi,
Uki sahau wazazi
Bora maisha,mengine ni madjaliwa
Chaku wapa sina ila na wa ombeya usalama
Papa Jaques Yoshua,
Maman Ogla.
Victor Basua, ha ha, all the way from Canada