Raha Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Raha - Love boy
...
jamani raha kupendwa
mwenzenu napendwa
ameniweza ndio maana
simuachii
ye kille me kete
nang'ang'ana ng'ana
me nae nishakula yamini
ananiamini mambo ya kuchet
cheat kwetu nooo
popote anakwenda na mimi
ananiamini unao subiri tuachane
msubiri ndoa
penzi moto wa kibatari
tunalilinda na upepo
baby kwenye hii safari
kuna vilima chunga
usije ukateleza ukaniacha nalia me
tunavyo pendana wanaona donge
tuwape homa wanye vidonge
ukiwezekana washushie na pombe
wasipo kufa wakajinyonge
chorus
ananipa raha, ananipa raha
ananipa raha, ananipa raha
ananipa raha, ananipa raha
ananipa raha, ananipa raha
instruments.. .. ... .. . .. . .
najua hampendi kuniona nipo nae
jishuhulisheni mi nadunda nae
ata mkivunja nyungu bado nipo nae
wachawi poleni tumeshibana
uwepo mi nae unawapa shida
penzi langu me nawe linawatatiza
penzi linang'ara ng'ara wanaona kiza
hata wapangane foleni hatuaachani
washa feli
penzi moto wa kibatari
tunalilinda na upepo
baby kwenye hii safari kuna vilima
chunga usije ukateleza
ukaniacha nalia me
tunavyo pendana wanaona donge
tuwape homa wanywe vidonge
ukiwezekana washushie na pombe
wasipo kufa wakajinyonge
chorus
ananipa raha, ananipa raha
ananipa raha, ananipa raha
ananipa raha, ananipa raha
ananipa raha, ananipa raha
instruments. .. . .. . . . .