![Nani Akupinge (Ni Nani)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/13/34aed99e7a8c489b8dc574036fe8a213H3000W3000_464_464.jpg)
Nani Akupinge (Ni Nani) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Verse
Ni nani asimame mbele zako
Nani akupinge
Watetemesha milima hata ziwa
Nani akupinge
Chorus
Maana wewe ni mkuu Mwenye enzi
Twakwabudu
Verse
Unayeponya magonjwa yasinatiba
Nani akupinge
Chorus
Maana wewe ni mkuu Mwenye enzi
Twakwabudu