
Unanipenda Vizuri ft. Panzili Music Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Unanipenda Vizuri ft. Panzili Music - Y Tee Ke
...
UNAPENDA VIZURI
kama nikupewa fungu sasa naamini ww ndo fungu langu,
baba Mungu kakuumba wewe toka kwa mbavu yangu,
wakiniona nina raha ,wajue we ndo raha yangu,
mashallah, tunaendana we waridi wangu,
Bridge....
bby you are beautiful, ndichi nimezama full,
and i be a fool nikiaribu haya mapenzi, X2
chorus....
Mana unapenda vizr, eeeeeeeeh.......,mmmmh,
mm wanipenda vizr, mmmmh...... eeeeeeeh,
verse 2
sikuizi hayaniumizi tena.........
hayaniumizi tena..... mapenzi.
mwanaume anahitaji love, anahitaji care and you do that ,
ni mengi yalitokea but i don't care nimepona,
bridge.....
bbby you are beautiful, ndichi nimezama full,
and I will be a fool nikiaribu haya mapenzi,
chorus.......
UNANIPENDA VIZURI.