
Nakupenda ft. Gogo Ashley Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nakupenda ft. Gogo Ashley - V-BE
...
mmmmh ...mmh Gogo Ashley. .Vijana barubaru na wee... ya dada
kuna muda njoo tupoteze wakatii raha ukinilaliaa
siku inapita ikienda wapi ka sijakupigiaa
ukinihitaji mi ntakosaje nafasi ...sema ntakukujiaa
have been asking God for nlifunga nione miujiza ...
kufungua macho i saw you...
Down on your knees no wasting time ...
wazazi wajuane family time...
Bouncing baby ndo next in line
meant to be it was set in time....
Love ka hii its ahead of time....
honeymoon high the time of your life ...
promise we'll stand the test of time...
Sadly forever is not enough..
NAKUPEENDAAA...kama nyama chooma soda baridi na kadoughnut ..nikiwa nawe mi hunonaa...my sukari
NAKUPEENDA ...kama nyama chooma soda barudi na kadoughnut nikiwa nawe mi hupona ..Dakitari....
Niwera ni wera ni wera kuunda Family tucheze
wera tuunde family
don't be high with youuu... come on to you
Ni wera ni wera ni wera ni wera kuunda family tucheze wera tuunde family
don't be high with you ....come on to you
Kama kukupenda dhambi my soul is a dark night
to leave a permanent mark..endless bloodline
love at first sight ..sacred soul tight...
talk to me with your eyes ntajua kenye unadai....
nimekuona ukiwa thirsty , hungry, nasty ...kukutunza kazi yangu ki rasmi ..
Ntakujengea makao kabla ...nipate mazao nipange na hiyo thao
"huyu ni wa nani? ....huyu ni wangu ...
ye hutuma nndanganye maboyz siko kwangu
one plus one hesabu za kutoroka matabu
nimjazie kikapu napenda vilee
NAKUPEENDA A.. kama nyama chooma soda baridi na kadoughnut nikiwa nawe mi hunona ...my sukariii..
NAKUPEENDA ...kama nyama chooma soda baridi na kadoughnut nikiwa nawe mi hupona ...Dakitari..
ni wera ni wera ni wera kuunda family tuanze wera tuunde family
.. i we'll be high with you ...come on to you ....×2...
Nikiwa nawe mi hunoona ...nikiwa nawe mi hupona.aaaa i we'll be high with you come on to you....
lyrics....by yusrah...sirleem .