Limenoga Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2023
Lyrics
Limenoga - mounflavor
...
Ninoooooo
the moun again
yeah yeah yeah yeah
chu chu chu chu chu
Limeno limenoga limeno limenoga limeno no nonononononononono
limenoga limeno limenoga limeno limenoga
limeno nononononononononono limenoga
limenoga penzii kwani umeniroga my friend
limenoga sio tread umenipiga roba the end
Yes mumy unachanganyaga na kitu gani
oooh oooh oooh sio utani me nipo lagalaga
Baby we na me oyeeeE
Limeno limenoga limeno limenoga limeno no
nonononononononono
Limenoga limeno limenoga limeno limenoga
Limeno
nononononononononono limenoga
Nimeregea lege lege legeE
Yaani nipo kama bwege bwege bwegeE
Hata unishikie pisto simuachi sitaki
Nakaza nut wapi nitampata at mwenye pendo
La dhati pale kati "ananitosha yeeyeee sitaki danga nilipo niko nayeeyeee tumegandana
Maana limeno limenoga limeno limenoga
Limenononononononononono limenoga
Limeno limenoga limeno limenoga
Limenononononononononono limenoga
Kwa siku yaani dozi mara tano
Bebe hana mfanoo
Soon swala tano
Volcano me amor
Chu chu chu chu
Sitaki danga aaaaah
chu chu chu chu
Tumegandana maana
Maana limeno limenoga limeno limenoga
Limenononononononononono limenoga