Nakushow ft. Davie Karr Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
UH
Krrr
MMZ
Usibonge Mavi Online
Siku Tutakutana Utajuta
Nduku Naivanga Huwezi Vuta
Kupata Kama Mimi Hii Nairobi Yote
Buda Utazurura
Weka Handicap na bado Utapura
Cheki Vile Tuko Fresh
Absolutes- Nah do buts
Na Imefura
Yaani Ego-Najijua
Who dat
Tryna Beefing- uko sure
Na si CD
We Protected ask around Hatuhitaji CV
Ni Vile Bidii Tumewekelea
Nani Ako Na Mali Ntamtembelea
Nani wingman- Piga Crossi
Girls night out
Wakijua Nina Broskis
Hadi Kanuke
Wakiskiza Ngoma Zetu
Si Ni Waruke
Wakiwanga side zetu
Ngumu Wavuke
Yooh
Ni kuhot Mvuke
Mpaka Watoe Mbegu
Hatuchezi ni too tense
In these ends
We the real Top Shottas
Si niliwashow,
Ndio maana Wanadata
Shao ako Lean
Ndio Maana anakata
Msupah ni queen
Ka ni karata
Me ndio Nakushow
Me ndio Nakushow
Usiwaamini
Me ndio Nakushow
Wanasema nini
Me ndio Nakushow
Me ndio Naku
Me ndio Naku
Me ndio Nakushow
Me ndio Nakushow
Me ndio Nakushow
Usiwaamini
Me ndio Nakushow
Wanasema nini
Me ndio Nakushow
Me ndio Naku
Me ndio Naku
Me ndio Nakushow
Tukichafua
Watapangusa
Unasema ng'we
Usijam nikigusa
Fresh toka ngepa to ndulah
Mtegemea Makeup ni Chura
We ni Chekechea
Nina Masters
Unanyemelea Msupah Ananitafta
Jifanye Hunijui
Me ndio Captain wa Coolkids
Nachorea Catfish na Suchi
Aaaah
Asalaamaleikum-Aleikumsalaam
Riba ni za Jaba
Dhani me ni Mtaalam
Me ndio Nakushow
Count Madoh
Niite Teller
Nachill na Magroupies na Masela
Ahaa
Cheki Dem
Cheki Dem
Ahaaaa
Kila Siku Kwa Mtaa
Ahaaaa
Ni ka nitamteka
UUUIIII
Apige Nduru Ndio Wasikie
Ahaa
Cheki Dem
Cheki Dem
Ahaaaa
Kila Siku Kwa Mtaa
Ahaaaa
Ni ka nitamteka
UUUIIII
Apige Nduru Ndio Wasikie
EEEEHHH
Me ndio Nakushow
Me ndio Nakushow
Usiwaamini
Me ndio Nakushow
Wanasema nini
Me ndio Nakushow
Me ndio Naku
Me ndio Naku
Me ndio Nakushow
Me ndio Nakushow
Me ndio Nakushow
Usiwaamini
Me ndio Nakushow
Wanasema nini
Me ndio Nakushow
Me ndio Naku
Me ndio Naku
Me ndio Nakushow