Ting A Ling Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Krrrh!
Skun Dan ta-da
Kudung
Kang
Dan ta-da
Like a movie nafanya kweliSio uzushi
Wamejaribu lakini hawanishushi.
One man armyAmbush
Mchome nawachomakama vile kush
Mziki kama dawavile mi na push
Money in a bandlesi nabeba vifurushi
Me love Japanese foodnakula sushi
King of de jungleutanikuta Niko bush
Kama jua linawaka
Kama mvua inanyesha
Kama jua limewaka
Kama mvua inanyesha
Wengine nao wanashikwa na presha
Me ndio systemninawakomesha
Nachukua kama ni mtotowa kukesha
Nalipia kama ni mtoto wa kuvesha
Nawapiga doba bhana
Wana wanao bana
Ni mchezo wa Dana Dana
Ni mchezo wa Dana dana
Cheza kama wewe
Mi nakabakulia kushoto
Kati mi na chana
Kikosi kaziNipo na Wana
Chunga usilete lawama
Dem never knowDe way we do
We dode way we do
Dem never knowhow we do
We dohow we do
Dem never knowde way we want
Yeah!
We dode way we want
Yeah!
We live de way we want
Yeah!
We dode way we want
Yeah!
Mazombiewanajuana
Mda wowotekinaumana
Team nzima imeungana
Ni kucheza kufa kufana
Tumekutana mjini bhana
Usilete za kujuana
Mjini ni kujuana
Usilete za kujuana
Ting a ling a ling
Twende ting a ting a ting a ling
Watu wako ting ting a ling
Wametinga ting a ting ting ting a ling
Niko ting a ting a
Nimetinga ting ting a ling
Watu wakoting ting a ling
Wametingating ting a ling