Sina Raha Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
King Charls Music - Sina Raha
Na Nimeona wengi kama,
Ila sijaona kama,
Binti ulieumbika mwenye sifa za juu,
Mpka nazikata zile baddest taboos,
Nayapenda macho yako, (nayapenda)
Bila kusahau pigo zako
Umeutika mtima mama ah
Kama wewe sijaona
Kwenye giza baby, wewe ndo umewasha taa,
Mana kwako nachizika, sijiwezi kwako mi kichaa,
Mama you look sexy (sexy), umenikamata mi
Na Unanidatisha, heiye ie ieee
you look sexy (sexy), , come up to me
Unanimaliza yeh eh
Jua wewe ndo wewe unanizingua mie, *2
Ndo mana sina raha muda wote nahitaji tuwe wote milele,