Mama ft. Julienne Melisa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Upendo wako najivunia
Uwepo wako na ganganiya
Bila kusema sana una nielewa
Ata kwenye machozi una ni sikiya tu
Una pambana nami kwa wema
Bila kusema unuweza ni chunguza
Na ukisema una ni inuwa juu
Kila ukisema una ni tengeneza wewe
Bila kusema unaweza ni fundisha
Na uki sema una ni hinuwa juu
Kila ukisema una ni sahihisha, wewe
Mama unaniweza, mama unanielewa
Mama najieleza, ni upendo wako Najiviniya
Mama unaniweza, mama unalielewa
Mama najieleza, ni upendo wako najiviniya
Najuwa mengi nime koseya
Furaha yako nika I poteza, kila mara
Navyo kuona ni furaha nasikiya
Kila kona una ni safisha
Una ni funika, najuwa kwako tuliza, mama
Bila kusema una vyo ni elekeza
Kila kusema una ni inuwa juu
Kila mara nakuona na pona ki undani wewe
Mama unaniweza, mama unanielewa
Mama najieleza, ni upendo wako Najiviniya
Mama unaniweza, mama unalielewa
Mama najieleza, ni upendo wako najiviniya
Acha niku one, acha ni ku ambiye
Niache ni some sifa zako, zizuri sana
Una mazuri sana ohh ohh
Acha ni kuone uinuliwe
Kwa upendo u funikiwe
Nakuona... wewe
Mama unaniweza, mama unanielewa
Mama najieleza, ni upendo wako Najiviniya
Mama unaniweza, mama unalielewa
Mama najieleza, ni upendo wako najiviniya