![Mahaba ft. Hadia](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/28/565bdee1a82a4a71af7da73d1d2d00f4_464_464.jpg)
Mahaba ft. Hadia Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mahaba ft. Hadia - Hammer Q
...
kinacho niumizaa aaah
pale ninapo kuona aah
umejishika taama aaah
mumeo nakaza aaah
tupate anagalau dona
maana naogopa lawama aaaaaaah
kama mapenziii mwenzangu umebarikiwa Aah
nipe nikupe peupe me kwako nishala sawa
kwa mola mwenyezii zawadi nimetunukiwa Aah kwetu kupenda thawabu mwiko kucha wa talaka
nakupenda na nakiri sikuachii
akuna mwingine kuushika hii nafasi
weka ukuta minitaziba mabati hii
saresare tupeane mahabati
mahaba mahaba mahaba
yamenizidiii
mahaba mahaba mahaba
nayafahidii
isharahaaa aah niliziona Aah
pale macho yalipogongana
ikawa aaah twaponyezana aaaah
nikahisi ndo tushapendana
nakuomba kwa mola aah
kuzidi kunipenda aaah
utakacho pika niitakula
alafu ndalala
si shepu mbaka Sura aaah
mola kakuumba aaah
tabia zako mashalla
pongezi kwa mama
nakupenda na nakiri sikuachii
akuna mwingine kuushika hii nafasi
weka ukuta minitaziba mabati hii
saresare tupeane mahabati
mahaba mahaba mahaba
yamenizidiii
mahaba mahaba mahaba
nayafahidii
mahaba mahaba mahaba
yamenizidiii
mahaba mahaba mahaba
nayafahidii