
FOR YOU ft. Dillion, Enoo & Untouchable Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
FOR YOU ft. Dillion, Enoo & Untouchable - Aphes
...
Nilitabasamu ukanikonyeza
moyo kama chatu umekumeza
nikaomba nafasi ukanipa nafasi
nikasema nafasi sito ipoteza
ukaja dance floor ukaanza kucheza
Hennesy kama tatu juu ya meza
wana wako shazi tungi ziko shazi
ukasema sijui kutumia fedha
muuni kweli sina bunda
ila siwezi shindwa kukununulia chips
wakitukana si unavunga
ukweli huwezi pingwa we ni bonge pisi
usione kama nakuchunga
naogopa kukukosa nitaishi vipi
nafanya kazi kama punda
upate milo yote ukache dhiki
Money!!
Bado sina gari utembee kwa miguu
siunajua najitafuta nitajipata tuu
i don't wanna no body baby just you
i don't wanna let you go im tryna keep it cool
mtoto ni mtamu ka' soda
hips ka' shingo ya Cobra
hanaga mashaga nikishazama chaka usiombe sa akichuma mboga
maboss wanatishia mbona
wanataka kumla uroda
me kufika mbezi safari ni fasta usiombe sa akipitia Goba
ili mabitozzy wasikusumbue nataka nikuweke ndani
leo tunatoka fanya tupendeze yaani tujikoki Gun
twende kwa sonara ninakiasi kichache tukachukue kidani
wazazi wakujue wana wakujue wasije wakakusumbua njiani
kwanza namshukuru Mungu kukupata
then kuwa na mimi ondoa shaka
nitakupa chochote unachotaka
baby as i do for you please do for me
kwanza namshukuru Mungu kukupata
then kuwa na mimi ondoa shaka
nitakupa chochote unachotaka
baby as i do for you please do for me
mapenzi yangekuwa vita me ningefia vitani
ningepigana kuajili yako kama nipo Pakistani
usiende mbali ukiondoka boxer nitavaliana na nani
kuwa na wewe mpango wa Mungu tukiachana shetani
vitu vidogo kama chakula mambo ya urembo haviwezi nishinda
hata nikisema leo siji home siunajua natafuta huwezi nipinga
sitaki mwingine nipo nje ya muda kukucheat wewe nitakua mjinga
jitunze sana usinipe magonjwa siunajua vile si hatupendagi kinga
japo ka' mchakamchaka life yenyewe ndo hii
sina matakataka love is what i see
leo me nasakasaka ipo siku zitatick
wanaokutakataka usiwakumbatie
though ki'Gang though ki'Gangster
I'm sorry though sometimes we mess up
though ki'Gang though ki'Gangster
I'm sorry though sometimes we mess up
kwanza namshukuru Mungu kukupata
then kuwa na mimi ondoa shaka
nitakupa chochote unachotaka
baby as i do for you please do for me
kwanza namshukuru Mungu kukupata
then kuwa na mimi ondoa shaka
nitakupa chochote unachotaka
baby as i do for you please do for me