Haiya Makanjo! Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Hold on wait a minute who's down?
Weka mikono juu nijue akina nani ninao
Miaka kumi saa hii ndio mnaskia hii sound
Haina noma
Wapi wale wenye walidharau?
Haina noma
Hao wengine tushasahau
Haina noma
Hao wengine hizo shida ni zao
Na hapa zile shida tunao
Ni mbona chaser kwisha bado whiskey kibao
Bibi ya wenyewe hapa ndethe kwa hao
Siku mbili ni ka ameshindwa kurudi za kwao
Mtumie address, hauwezi jua, labda njia alisahau
Amnesia, after kupigwa na hii rungu ninayo
Saa hii ananifuatafuata utadhani rungu ya nyayo
Laza chini, piga mti utadhani mi baba yao
Hakuna kupiga picha hutupati kwa mtandao
Kesho aniotee juu ya hii kishangao
Anitaje taje jina usiku kwa kitanda yao
Haiya makanjo
Hizi tabia gani unazo?
Haiya makanjo
Ntakushtaki kwa mamako
Haiya makanjo
Hizi tabia gani unazo?
Haiya makanjo
Ntakushtaki kwa babako
Aki Nisamehe
Aki sita rudia tena walahi
Aki Nisamehe
Ilikuwa mara moja tu, pole, pole!
Aki Nisamehe
Nakuomba, nakuomba
Aki Nisamehe
Ilikuwa once tu maze, once tu!
Wacha beat itambe
Wacha beat itambe
Wacha beat itambe
Wacha beat itambe
Unacheki cheki vile nang'ara
Usi kuje kuje na swara
Unacheki cheki vile nang'ara
Usi kuje kuje na swara
Checki
Bado na roga na swa
Vile na faa
Bado na wakilisha mtaa
Vile nafaa
Vile nilisema ntado
Vile niliahidi kabla nirudi majuu
I made a promise to you
I plan on keeping it too
That's what I'm making these moves
You know I can't lose, boy you know I can't lose
I made a promise to you
I plan on keeping it too
You know I can't lose, boy you know I can't lose
Si ati kujichocha
Ni venye mi naona
Nimejipata juu ya gorofa
Sijui mbona
Labda naogopa
Kuangalia chini
Labda nafikiri
Ntateleza niamke nijipate na nyini
Buda amini
Ka ni mimi
Basi Hiyo siku mazishi
Hiyo siku nineacha kuishi
Juu hata ka si hisi
Hakuna siku haipiti
Nimeseka kazi chini
Ndio nasema na kifua hunishindi
Haiya makanjo
Hizi tabia gani unazo?
Haiya makanjo
Ntakushtaki kwa mamako
Haiya makanjo
Hizi tabia gani unazo?
Haiya makanjo
Ntakushtaki kwa babako
Aki Nisamehe
Aki sita rudia tena walahi
Aki Nisamehe
Ilikuwa mara moja tu, pole, pole!
Aki Nisamehe
Nakuomba, nakuomba
Aki Nisamehe
Ilikuwa once tu maze, once tu!
Wacha beat itambe
Wacha beat itambe
Wacha beat itambe
Wacha beat itambe