![Leo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/5F/73/rBEeM1oybaqATd3JAABXbr7xdx4045.jpg)
Leo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2017
Lyrics
Leo - Brian Nadra
...
leo ni leo (mama)
tunapitana barabani
kwa salamu za hewani
mwendo wake huwa kasi
she's always in a hurry
sijui kachelewa wapi
nimekuwa nikingoja nafasi
kusema naye one on one
tupige gumzo ana kwa ana
so she can say her name
and I can tell her mine
if she got a business card
I'll take it too that's fine
beautiful stranger
won't you be kind
can I have one second of your time if you don't mind
lips are moving up and down sauti haitoki
moyo unadunda mteremo wa magoti
nianze wapi niseme vipi
leo ni leo
amini nachapa hii leo vikali charging up my confidence
nianze wapi niseme vipi
leo ni leo
amini nachapa hii leo
vikali charging up my confidence
(huh)anasema hanatime
baby what you mean
says am not her type
out of sight out of mind
to her am just another boy from the hood
kijana was mtaa najaribu kutupa lugha inakataa
lakini mwanaume ni njaro
I'm be back with a new strategy tomorrow
atakama ni suti nitaborrow
iliunitake seriously naweka sura ya kazi roll up my sleeves
usijifanye mgumu you will never know what hit you
maringo wachia tausi na sio matusi
lips are moving up and down sauti haitoki
moyo unadunda mteremo wa mogoti
nianze wapi niseme vipi
leo ni leo
amini nachapa hii leo vikali charging up my confidence
nianze wapi niseme vipi
leo ni leo
amini nachapa hii leo vikali charging my confidence
nianze wapi
niseme vipi
nianze wapi
niseme vipi
don't you dare block my view leo niko roho juu
songa kando am coming through
lips are moving up and down sauti haitoki
moyo unadunda mteremo wa mogoti
nianze wapi niseme vipi
leo ni leo
amini nachapa hii leo vikali charging up my confidence
nianze wapi niseme vipi
leo ni leo
amini nachapa hii leo vikali charging up my confidence