![Utungu Wa Msalaba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/16/bc674fe38b524bfa830099f89fce6516_464_464.jpg)
Utungu Wa Msalaba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Utungu Wa Msalaba - G wence
...
Ipo siku
Tutakutana
Na wenzetu
Waliotutangulia
Karne na karne
Miaka na miaka
Tutakutana mbinguni
Tukiimba sifa zake
Tutaimba wema wake
Tutasifu ukuu wake
Sifa za mwanakondoo
Aliyechinjwa kwa ajili yetu
Ni utungu wa msalaba
Umefanya yawezekane
Alituzaa mara ya pili
Kwa mauti ya msalaba
Ipo siku
Tutakutana
Na BWANA Yesu
Uso kwa uso
Tutamsifu
Na malaika
Elfu elfu
Kwa wimbo mpya
Tutaimba wema wake
Tutasifu ukuu wake
Sifa za mwanakondoo
Aliyechinjwa kwa ajili yetu
Ni utungu wa msalaba
Umefanya yawezekane
Alituzaa mara ya pili
Kwa mauti ya msalaba
Tutaimba wema wake
Tutasifu ukuu wake
Sifa za mwanakondoo
Aliyechinjwa kwa ajili yetu
Ni utungu wa msalaba
Umefanya yawezekane
Alituzaa mara ya pili
Kwa mauti ya msalaba
Asante Yesu
Asante BWANA
Kwa kufanya
Jambo hili liwezekane
Asante Yesu
Asante BWANA
Kwa kunifuta
Machozi yangu
Asante Yesu
Asante BWANA
Kwa kunichagua
Niingie mbinguni
Asante Yesu
Asante BWANA
Kwa kufanya
Jambo hili liwezekane
Asante Yesu
Asante BWANA
Kwa kunifuta
Machozi yangu
Asante Yesu
Asante BWANA
Kwa kunichagua
Niingie mbinguni
Tutaimba wema wake
Tutasifu ukuu wake
Sifa za mwanakondoo
Aliyechinjwa kwa ajili yetu
Ni utungu wa msalaba
Umefanya yawezekane
Alituzaa mara ya pili
Kwa mauti ya msalaba
Tutaimba wema wake
Tutasifu ukuu wake
Sifa za mwanakondoo
Aliyechinjwa kwa ajili yetu
Ni utungu wa msalaba
Umefanya yawezekane
Alituzaa mara ya pili
Kwa mauti ya msalaba