Tuna Enjoy (Mpaka Chee) ft. Desmelody Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Squash
Haha
Squash
Ropa wingo
Negro baby
Mmmmm Lete shisha
Mfukoni mina kitita
Aya mama
Mi sitaki maziwa leo nataka bia
Nahakikisha
Moyo wangu unafarijika
Stress we potea leo natakabia
Mi komando
Mi komando
Tunaenjoy, pakache, tunaenjoy, paka kukuche
Yani pakache, ah, kila siku sherehe
Huku ndani kumefana, I say,
Karibu uwanjani sterebuka maze
Hei, hei, sio kinyonge
Pesa ionge, glass tugonge
Waiter tuongeze usituzonge
Twataka tupendeze, tuepushe mazonge
Nalewa kwa hela yangu, sa utanambia nini babu
Unagongea wine yangu sa, umefata nini club
Mi komando
Mi komando
Tuna enjoy, pakache, tuna enjoy, paka kukuche
Nalewa kwa hela yangu sa, utanambia nini babu
Unagongea wine yangu sa, umefata nini club
Pakache, paka kukuche