Ke (I give you) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Uliwacha, enzi ukaja duniani
Mfalme, ukawa mtu Wa kawaida
Mateso, dharau yote ulipitia
Ndio mimi, niweze kuokolewa
Ulivumilia msalaba Juu yangu
Ukajipeana kama dhabihu ya Mwisho
Na ndio maana, najipeana kwako
Nîndakûhe nie ndî waku
Moyo wangu, Ke
Ndoto zangu, Ke
Maisha yangu, Ke
Nîndakûhe nie ndî waku
Oya oya
Damu uliyomwaga
Imefanya niipate ukombozi Wa milele
Dhambi zangu ulibeba
Ndio mimi, niweze kuokolewa
Ulivumilia msalaba Juu yangu
Ukajipeana kama dhabihu ya Mwisho
Na ndio maana, najipeana kwako
Nîndakûhe nie ndî waku
Moyo wangu, Ke
Ndoto zangu, Ke
Maisha yangu, Ke
Nîndakûhe nie ndî waku
Oya oya