
Nimechoka (2023 Remastered Version) Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nimechoka (2023 Remastered Version) - Ika Tz
...
Verse one
Maumivu yamekuwa fungu langu
Kila nikijaribu naziumiza hisia zangu
Wenzangu wanakula mbivu ila mbichi ndo za kwangu
Yale mahaba ndi ndi ndi leo imekula kwangu
Mara unirudie saa sita
Nikipiga simu inatumika usingizi unagoma kabisa
Wangu rudi nakuita
Kwangu kupenda maradhi ooh uwoo
Siishiwi simanzi ooh uwoo
Inamana huniwazi ooh uwoo
Siuniweke wazi ooh uwoo
I pull my hands up for you hands up
Boy, i pull my hands up for you hands up
Chorus
Nimechoka kucry, i need you by my side
Nimechoka kucry, i need you by my side (side)
Verse two
Yako wapi mapenzi uliyosema? Uliniahidi sitolia tena, au nikae mbali nawe nisilie tena
Naona inabidi umenichoka sema
Nikisema nilewe najikomesha mapenzi yananipa presha
Kukufikiria wewe najikondesha mapenzi yananipa presha
Kwangu kupenda maradhi ooh uwoo
Siishiwi simanzi ooh uwoo
Inamana huniwazi ooh uwoo
Siuniweke wazi ooh uwoo
I pull my hands up for you hands up
Boy, i pull my hands up for you hands up
Chorus
Nimechoka kucry (kucry)
I need you by my side(by my side x4)
Nimechoka kucry (huuhuuhuuhuuhuu)
I need you by my side (side)
I pull my hands up for you hands up
Boy i pull my hands up for you hands up