
Sijaona Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Sijaona - Dillion
...
My geneviva,
My melann gal you know,
What you carry n’ your back,
You gonna kill somebody,
And your body give mih fever,
And your my medicine,
I like de things dat you give mih in the dark,
When you touch my body.
Kwako mi ni kolo,nimefall,
Yani ndombolo ya solo,ani kwako
(Ni zu-zu-zu)
Mzuri hauna kasoro,sitapashaga viporo,
Ma-ex mbona watatubu!!!!
Beautiful x2,lemme show x2,
Achana na maskendo,
Njoo nikupe upendo,
Mungu kakupa upole,
I’ll never leave ue lonely,
Ntaweka pete kwa kidole,
You mah one and only,
(Mimi kwako sijaona,
Kama wewe sijaona)x4
(Instrumental)
Mama mih,
Kigoma nimefika mabegi,mimi kwako nishaoza,
Nimekufa nime-dedi,
Na tena mimi,
Kwako nitaacha mafegi,
Kila kitu nitatii,
Nifanye kazi na weledi,
Ooh babe,
Ta-ta-ta-ta-raraaah,
Shika bomba hi safari n mbagalah,
Wasije wa-ka tukwarararah, Siunajua tena hii ni daladala,
Beautiful x2,lemme show x2,
Achana na maskendo,
Njoo nikupe upendo,
Mungu kakupa upole,
I’ll never leave ue lonely,
Ntaweka pete kwa kidole,
You mah one and only,
Mimi kwako (sijaona),
Kama wewe (sijaona), x4
Babe tell me anytin i go do,
Coz mah love for you is true,
(And your body’n killer,)
(Fashion killer)x4
(Instrumental)
Thank you for listening….