Muda Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Muda - Diameter Pallet
...
Nikivuta picha nakuta nimecheka mwenyewe
Mahaba ulipo yashika umeashika penyewe
Na wish Yani Dunia yote ungebaki mwenyewe
Na mwezini me nataka niende na wewe
We ndio my love
Mpenzi wangu
Takupa unacho taka kwa uwezo wangu
We ndio my sweet love
Ubavu wangu
Wengine nishaona paka kipenzi changu
Aaaah
Kuna muda natamani watu wote wapotee
Kuna muda na wishi nikuhonge Dunia yote
Kuna muda natamani nisione ndani utoke
Kuna muda natamani usinge kuepo upweke
ona
Nikivuta picha nakuta nimecheka mwenyewe
Mahaba ulipo yashika umeachika penyewe
Na wish Yani Dunia yote tungebaki wenyewe
Na mwezini me nataka niende na wewe
Aah
We ndio my love
Mpenzi wangu
Takupa unacho taka kwa uwezo wangu
We ndio my sweet love
Ubavu wangu
Wengine nishaona paka kipenzi changu