Bomba Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mini mini mini nami nimo
Anasababisha elnino
Tena ni gharika elnino
Bad weed kamgongea mvinyo
Mini mini mini nami nimo
Anasababisha elnino
Tena ni gharika elnino
Bad weed kamgongea mvinyo
Toy boy
Shaaah
Utanikill mamy
Umebeba wimbi la tsunami
Una show za kitalibani
Utamu wa cha ndimu kichangani
Kata ndo inazama kisimani
Unavyokata we ni one man army
Time ya kupanda kilimani
Time ya kunena lugha za gizani
Eeeeh
Unavyokamua mama
Uaridi limechanua mama
Taratibu baby heshimu azana
Ulifanya mjeda akuimbie inabana
Eeeeh
Unavyokamua mama
Uaridi limechanua mama
Taratibu baby heshimu azana
Ulifanya mjeda akuimbie inabana
Bomba Bomba
Bomba Bomba
Bomba Bomba
Bomba Bomba
Mini mini mini nami nimo
Anasababisha elnino
Tena ni gharika elnino
Bad weed kamgongea mvinyo
Mini mini mini nami nimo
Anasababisha elnino
Tena ni gharika elnino
Aaaah aaa aaa
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu aah aah
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu eeh eeh
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu aah aah
Kuchu kuchu aah aah
Kuchu kuchu aaah
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu aah aah
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu eeh eeh
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu
Kuchu kuchu aah aah
Kuchu kuchu aah aah
Kuchu kuchu aaah
Anamiliki kigoda
Mi namiliki bomba
Bomba
Ikifyatuka kila kitu inasomba
Nongwa
Inavyopenya inamkuna kidonda
Kwa speed ya honda
Kwenye kinu naponda
Namkuna kipele
Mashuti kambani kama mayele
Yani jogoo kauona muchele
Ushindi lazima kwa dua au kwa ndele
Mmmmmh
Eeeeh
Unavyokamua mama
Uaridi limechanua mama
Taratibu baby heshimu azana
Ulifanya mjeda akuimbie inabana
Eeeeh
Unavyokamua mama
Uaridi limechanua mama
Taratibu baby heshimu azana
Ulifanya mjeda akuimbie inabana
Bomba Bomba
Bomba Bomba
Bomba Bomba
Bomba Bomba
Mini mini mini nami nimo
Anasababisha elnino
Tena ni gharika elnino
Bad weed kamgongea mvinyo
Hayo mautundu
We mtoto bomba
Kama kwenye gari
Shikilia bomba
Basi kinga ndoo
Nifungulie bomba
Bebe rewind
Bebe come again
Hayo mautundu
We mtoto bomba
Kama kwenye gari
Shikilia bomba
Basi kinga ndoo
Nifungulie bomba
Bebe rewind
Bebe come again