Ahadi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ahadi - Barrett Mapunda
...
Ahadi zako ni za hakika ukisema utafanya
Hakuna jambo usiloweza kulitenda
Ahadi zako ni za hakika ukisema utafanya
Hakuna jambo usiloweza kulitenda
Chorus
Eeh Bwana wafute machozi wanao kulilia
Eeh Bwana wape kibali walio kataliwa
Eeh Bwana wafariji walio kata tamaa
Eeh Bwana washindie wanao kutegemea
Ahadi zako ni za kweli na ukisema unatimiza
Yale yote ulio ahidi hunitimizia
Bwana bwana na sina mashaka na kila neno la kinywa chako
Sitachoka kusubiri ulio ahidi kwangu kutimia
Chorus
Eeh Bwana wafute machozi wanao kulilia
Eeh Bwana wape kibali walio kataliwa
Eeh Bwana wafariji walio kata tamaa
Eeh Bwana washindie wanao kutegemea
Ahadi zako Bwana wangu ni za kweli na hakika
Ahadi zako Bwana wangu ni za kweli na hakika
Bado nakungoja
Ahadi zako Bwana wangu ni za kweli na hakika
Ahadi zako Bwana wangu ni za kweli na hakika
Bado nakungoja
Kwani Bwana si wewe uliewavusha israeli jangwani
Nimesoma ni wewe ulitawanya bahari wakapota
Eeh Bwana wafute machozi wanao kulilia