Over The Wall Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Over The Wall - TEREMI KING
...
intro
we going all in
we going all in
(yea yea yea)
verse 1
over the wall
niliruka strokes for goals
aimed for the box on the wall
toka teenie grown don
never force love bond
never take time kwa ma troll
should be less of a haul
effort iko mob juu ya doo
patience ya ma hoes ndio strong
ukifeel uko hauty
block tunapita na revolver
wrong ukicheza na wrong number
skuizi ni heist mpaka dawn
the last time
niliamshwa 4 na ma night dogs
on the run taliban
police men
walitumwa kwangu wa scan mpaka wall clock
sijachoka na haul
runtown
ukikuja base tumesunda ma wash wash
though ni plan ya sadam
tulimpiga 4 on toes
tukatoka 4 by dawn
pre-verse
by now niko inaadi sijadozz
usingizi haikuji juu ya rizzler na calls
mistake nilifanya ni ku reason na cops
bank iko full wanataka reports
"kijana amekua mdosi by force"
suspect kamili inspekta ame appeal
mshawasho wa bethsheba na feel harm within
reason na drill ni juu haul ninadrill
hook
usijali na breed ya drill
ukiball you can taste that
sahi focus grind more grill
chora plan utaweza...yea
ukisleep kwa scene joh mjini
ivo ndio we huchezwa
just haulin and haul for a meal
panga chase vile unacheza
verse 2
bado mi ni suspect mjini
siwezi rudi back for a minute
heri nijiforce for a minute
kuliko ku ji clone na binnie
steady na resovle hizi kiki
staki ziwe mingi ni tricky
okanyal chwadora gi misip
mana kinyalo twego mini sikat
na labda sikutaki kwa nini?
aidho geche maduong ok mini bus
mchezo ya mande'nga ni mingi mjini
siwezi jigeuza nipigwe na mimi
siwezi taka wanipate ndani ni tricky
sijali ka ni ganji si bora uhai...eey
ka ni mali safi kama riri
teka na adabu unaeza pata ni majini
usione amejibeba udhani ndani ni madini
labda ni madawa miti shamba za kitui...eey
huniskizi....hunishiki nasema utageuzwa mboga mbaya utupwe
frisk hii city
haul vi fity
juu bado unasaka sio mbaya
jenga jina
leta beamer
peleka seniorita coast dinner
morning runner
no retire
mi nakaza musscle wanakaza chuki