BAG Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
BAG - 24barzz
...
BAG
Nataka ma-coin kwa bag,
Na kill namada nalipwa pa verse,
Gear kwa D tuling’oa reverse,
Sioni hapa compe endeni rehears
Na mii nina balls(najua)
Ukiyap mabare mbele ya macops,
Hater uko nje rafiki in’box
Shada for now imeafichwa kwa locks,
Swing
Bling
Nimejaza kwa wrist clean
Drip supreme fresh barzz hamwezi nidim
Mimi
Hamwezi compare na mimi
Hamwezi nipima akili
Kaa si Lamqo kwa chats mimi
Kunipita maybe your dreaming,
Mali ni safi for real
Nadai insurance ya greens
Compe ni stiff no wonder marapa wanatoka kwa scene
Social zii
Nani mzii kwa hii flow
Show me hucome buda kaa kuna dooh
I need more
Cash flow
Bei iko juu I know you know
Nataka ma-coin kwa bag,
Na kill namada nalipwa pa verse,
Gear kwa D tuling’oa reverse,
Sioni hapa compe endeni rehears
Na mii nina balls(najua)
Ukiyap mabare mbele ya macops,
Hater uko nje rafiki in’box
Shada for now imeafichwa kwa locks,
Sling....ice,
Dinga ni price
Unaringa hu burgain mii na double the price
Unafeel kaa fathela nafeel hiyo twice
Nafichua white unakua?
Hii zone sii ndio kusema
Uki argue unazimwa na bullets
Know it all si hucheki wakigenya wakikaliwa design ya macusion
Buda sii ndio hu control kenya
Usijione kindumee
Si ndio hudecide kama utapenya lakini usiworry my nigga jitume
Long time no see na bado am the top G
Chasing dreams no sleep maturity level na meso iko deep
Swing
Bling
Nimejaza kwa wrist clean
Drip supreme fresh barzz hamwezi nidim
Mimi
Hamwezi compare na mimi
Hamwezi nipima akili
Kaa si Lamqo kwa chats mimi
Kunipita maybe your dreaming,
Mali ni safi for real
Nadai insurance ya greens
Compe ni stiff no wonder marapa wanatoka kwa scene
Social zii
Nani mzii kwa hii flow
Show me hucome buda kaa kuna dooh
I need more
Cash flow
Bei iko juu I know you know
Nataka ma-coin kwa bag,
Na kill namada nalipwa pa verse,
Gear kwa D tuling’oa reverse,
Sioni hapa compe endeni rehears
Na mii nina balls(najua)
Ukiyap mabare mbele ya macops,
Hater uko nje rafiki in’box
Shada for now imeafichwa kwa locks,
Nataka ma-coin kwa bag,
Na kill namada nalipwa pa verse,
Gear kwa D tuling’oa reverse,
Sioni hapa compe endeni rehears
Na mii nina balls(najua)
Ukiyap mabare mbele ya macops,
Hater uko nje rafiki in’box
Shada for now imeafichwa kwa locks,