![Nitunzie](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/09/1c2f4de70c414de6b04396e0d0424fd2H3000W3000_464_464.jpg)
Nitunzie Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Nitunzie - Bray musictz
...
Oh oh oh (oh oh oh)
Ninakupa moyo unitunzie, kila kitu unitunzie,
hisia zangu nimekukabidhi, basi tafadhali unitunzie,
mimi nawe tushakula yamini, kufa kuzikana mi na wewe
tusimame mpaka kilele, tena jiamini uko na mimi
wewe na mimi kama pacha salesale, aaaaah shushu,
acha waseme mimi nawe chapa ilale aaaaaaaaah shushu,
mi wife oh sheri, kipenzi cha roho yangu,
nikuvishe pete uwe mama wa watoto wangu, uzee umutima wanje,
ooooh sheri, aaaaaah aaaaaah sukari wa moyo wangu weeeh, aaaaaaaah (bebi) aaaaaaah,
ooooh sheri, aaaaaaah (huh) aaaaaaah asali wa moyo wangu weeeeh, aaaaaaah (mamamamama) aaaaaaah,
(oh oh oh ×3 ) ×2
Napenda vile unavyonipa mama, style zote unaziweza mama
haswa ile unayokata, unavyokata (hiii) mi nanogewa
sijui ni nani atashawishi nikuache, mama sita,
sijui ni nani atashawishi nikuache, magarita, (wowowowo ooooh)×3